Mwongozo Wa Kigogo

KSh 150.00

Mwongozo wa kigogo imetayarishwa na Msarifu Glen Isaack na Binti Fridah Kaviti, wawili hawa ni Walimu wa Kiswahili katika Shule Ya Upili Ya Wasichana Ya Alliance. Ni waandishi wa muda mrefu wa kazi za Fasihi. Baadhi ya kazi zake Msarifu Glen zilizochapishwa ni pamoja na Mwalimu Dunia katika mkusanyiko wa Tutaonana tena na Hadithi Nyingine, Dhiki ya Ubwana na Ua Lanyauka. Binti Frida Kaviti pia Amechapisha vitabu si haba. Miongoni mwa kazi zake zingine ni; Mwongozo wa Damu Nyeusi na Score More Kiswahili Revision.

SKU: ISBN: 978-9966-74942-0 Categories: ,

Description

Mwongozo wa kigogo imetayarishwa na Msarifu Glen Isaack na Binti Fridah Kaviti, wawili hawa ni Walimu wa Kiswahili katika Shule Ya Upili Ya Wasichana Ya Alliance. Ni waandishi wa muda mrefu wa kazi za Fasihi. Baadhi ya kazi zake Msarifu Glen zilizochapishwa ni pamoja na Mwalimu Dunia katika mkusanyiko wa Tutaonana tena na Hadithi Nyingine, Dhiki ya Ubwana na Ua Lanyauka. Binti Frida Kaviti pia Amechapisha vitabu si haba. Miongoni mwa kazi zake zingine ni; Mwongozo wa Damu Nyeusi na Score More Kiswahili Revision.

Be the first to review “Mwongozo Wa Kigogo”

× Need Help?